Tukutane Octoba 2015. #ZamuYako2015 Kama tulivyojitokeza kwa wingi kujiandikisha basi tujitokeze tena katika kufanya uchaguzi mkuu, tuchague kiongozi mwaminifu na mwenye kutuleta maendeleo. Read more about Tukutane Octoba 2015. #ZamuYako2015