Suluhu ya kero ishapatikana, zimebaki kura-Lowassa
Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mh. Edward Lowassa , amesema amekwishakamilisha mipango ya kuondoa kero zinazowakabili wakazi wa Dar es Salaam.

