Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam
Jeshi la Polisi limesema linaendeleza operesheni maalumu nchi nzima kwa kuwakamata majambazi wanaofanya matukio sehemu tofauti ikiwemo wanaovamia vituo vya polisi pamoja na mitandao yao ya Uhalifu.