Uraia Pacha ndio utakuza uchumi wa nchi-Membe
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernad Membe amesisitiza Watanzania waishio Ughaibuni(Diaspora),kuwa na uraia pacha kwa kuwa ndio njia pekee ya ushirikiano wa kiwekezaji na kukuza uchumi wa nchi.