Waandishi wapata mafunzo ya habari za Uchaguzi
Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari wa mikoa ya Dar es Selaam, Lindi, Mtwara na Ruvuma wanapatiwa mafunzo ya kuandika habari za uchaguzi ili kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu unakuwa wa amani na utulivu.