Sheebah akana mahusiano tata na Keko
Staa wa muziki wa nchini Uganda, Sheebah Karungi amekanusha taarifa za kuwepo uhusiano tata wa jinsia moja kati yake na rapa Keko wa nchi hiyo, na kusema kuwa uhusiano wao upo ndani ya mipaka ya urafiki wa kawaida tu.