Ivo tunazungumza naye,Maguli bado yupo Simba-Aveva Rais wa Klabu ya Simba Evance Aveva amesema, wamemaliza mkataba na mlinda Mlango wa Klabu hiyo Ivo Mapunda lakini mchezaji Elias Maguli bado ni mchezaji wa Klabu hiyo. Read more about Ivo tunazungumza naye,Maguli bado yupo Simba-Aveva