Mbeya City yahitaji point tatu kila mechi ya ligi
Uongozi wa Timu ya Mbeya City umesema unahitaji kuanza kupata point tatu kuanzia mchezo wa kwanza mpaka msimu unapomalizika katikia michuano ya ligi kuu itakayoanza kutimua vumbi Septemba 12 mwaka huu.

