Kura yako moja inaweza kubadilisha matokeo. Vijana tujtokeze kwa wingi kupiga kura kwa pamoja tufanye mabadiliko, tupendane, tuipende nchi yetu, kura yako moja inaweza kubadilisha matokeo. #ZamuYako2015 Read more about Kura yako moja inaweza kubadilisha matokeo.