Tambuka
Chakula katika masoko yote kipo cha kutosha ila tatizo ni bei ya vyakula kuwa juu.
Tambuka
Wafanyabishara wa sokoni walalamikia uwepo wa 'store' nyingi mitaani hivyo kusababisha bidhaa kukaa kwa muda mrefu sokoni.
Tambuka
Soko la ndizi mabibo ni kati ya masoko makubwa ambayo wakulima wanauzia mazao yao kwa wingi kutoka mikoa mbalimbali.
