Serikali kuanza kuchimba Madini ya Urani 2016
Naibu waziri wa Nishati na madini , Mh. Charles Kitwanga ametembelea eneo la mradi la mto mkuju litakalochimbwa madini ya urani katika wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma na kuwaahidi wananchi ifikapo april mwaka 2016 mradi utaanza kuzalisha.