Nitaenda Sambamba na ukusanyaji wa kodi-Magufuli

Mgombea Uraisi kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Mh. John Pombe Magufuli ikihutubia maelfu ya Wananchi Mkoani Morogoro

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Mh. John Pombe Magufuli amesema kuwa serikali yake itatilia mkazo swala la ukusanyaji wa kodi hasa kwa wawekezaji wa nje na kuangalia upya misamaha ya kodi ili serikali kukusanya fedha nyingi zaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS