Wadau wa soka wapongeza kiwango bora Taifa Stars
Pamoja na matokeo ya suluhu ya 0-0 katika mchezo wa jana kwa Stars dhidi ya Nigeria wadau wa michezo kote nchini wameonyesha matumaini kwa kikosi cha stars katika mechi zijazo kama kikosi hicho kitaungwa mkono na kitaandaliwa vizuri.

