Watanzania watakiwa kuwekeza katika Ufugaji Samaki
Watanzania waliopo vijijini na mijini wameshauriwa kutumia fursa adhimu na adimu ya ufugaji wa samaki kwani ni rahisi kuwatunza, gharama ndogo ya maandalizi ya mradi ambao unaingiza kipato kikubwa kwa haraka na kwa muda mfupi.