AT 'aulegeza' mduara
Msanii AT, ameeleza kuwa kazi yake mpya inayokwenda kwa jina Mama Mie ni kazi ambayo ndani yake amerahisisha sana njia za uimbaji kupitia mahadhi ya mduara aliyofanya, kutoa nafasi pia ya wasanii wengine kuweza kufanya kolabo naye bila kumuogopa.

