Bee Man afiwa na mama mzazi.
Staa wa muziki kutoka kanda ya kaskazini, Bee Man anayefanya shughuli zake chini ya lebo ya Lovechild iliyopo Nairobi nchini Kenya, amepata pigo kubwa baada ya kufiwa na mama yake mzazi siku ya jana baada ya kuugua ghafla.

