Maisara ajivunia sauti yake
Maisara, staa wa muziki ambaye ameibuka na ngoma mpya inayokwenda kwa jina 'Usiwape Nafasi' licha ya ubora wa kazi hiyo ameeleza kuwa utofauti wa sauti yake ndio kitu pekee kinachomsimamisha na kumtofautisha na wasanii wengine wa kike.