Tenisi walemavu waomba sapoti ya vifaa kwa wadau
Watanzania, taasisi na makampuni mbalimbali zenye uwezo kifedha wamepewa wito kuisaidia vifaa timu ya taifa ya mchezo wa tenisi ya walemavu ya Tanzania ambayo hivi karibuni imetoka kushiriki mashindano ya kimataifa ya Nairobi nakushika nafasi ya pili

