Teknolojia ya simu yafaidisha wafanyabiashara
BAADHI ya wajasiriamali mkoani Njombe wamenufaika kwa kuinua uchumi wao na kufanya biashara zao kuwa rahisi baada ya kupitiwa na mradi wa miaka mitatu ya kuondokani umaskini mijini na vijijini kwa kupitia teknolojia.
