OKT 25 mchague mlo mmoja,miwili au mitatu: Lowassa
Mgombea urais wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mh. Edward Lowassa amesema kila mtanzania ajipe mwenye ili aweze kwenda kupiga kura oktoba 25 na kuichagua serikali ya ukawa kwa kuwa imepania kuwaboresha maisha.

