Yanga kambi kesho Bagamoyo maandalizi ligi kuu Mabingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara Yanga SC wanatarajiwa kuingia kambini hapo kesho kwa ajili maandalizi ya mchezo wa ligi kuu inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki. Read more about Yanga kambi kesho Bagamoyo maandalizi ligi kuu