Staa wa muziki wa Injili wa kimataifa kutoka Nigeria Eben
Staa wa muziki wa Injili wa kimataifa kutoka Nigeria, Eben ametua hapa nchini kwa shughuli kubwa ya kutumbuiza katika Kongamano la fedha lililoandalia na Kanisa la Christ Embassy Tanzania jijini Dar es Salaam.