Viongozi wa dini wataka watanzania kutunza amani
Viongozi wa dini mkoa wa Arusha wamewataka watanzania kuungana pamoja katika kuilinda na kuitunza amani iliyopo pasipo kujali itikadi za vyama, udini, ukabila na ukanda kwa kuwa iwapo itapotea ni vigumu kuirejesha.
