CCM yalaani kampeni kwenye nyumba za Ibada
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka tume ya uchaguzi kuchukua hatua kwa viongozi wanaokiuka sheria za uchaguzi ikiwemo kufanya kampeni kwenye nyumba za ibada au kuwatumia viongozi wa dini kwenye kampeni kwa ajili Ya kuomba kura kwa wananchi

