Damian aja na wazo tofauti Zanzibar.
Staa wa muziki wa miondoko ya Soul, Damian ambaye amekuja kitofauti na rekodi yenye mahadhi ya Sweet Reggae kupitia ngoma inayokwenda kwa jina 'Tudumishe', ameweka wazi chimbuko la tofauti la wazo la video ya kazi hiyo kutoka visiwa vya Zanzibar amba