Laki 7 kufanya mtihani wa darasa la 7 kesho
Baraza la Mitihania la taifa la Tanzania NECTA limesema jumla ya watahiniwa 775,729 wameandikishwa kufanya mtihani wa darasa la saba unaotarajiwa kuanza hapo kesho katika shule za msingi 16,096 zilizopo nchini.

