Kura moja inatosha kabisa kuleta mabadiliko. Watanzania tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura ili kuweza kuchagua kiongozi anaefaa kuongoza taifa na kuleta mabadiliko ya kweli. Read more about Kura moja inatosha kabisa kuleta mabadiliko.