Tusikilize sera za kila mgombea. Watanzania wenzangu tuwe makini wakati wa kufanya maamuzi ya kutoa kura zetu kwa wagombea wa ngazi zote, tusikurupuke, tusikilize sera za kila mgombea. Read more about Tusikilize sera za kila mgombea.