Kagera Sugar kucheza Tabora michezo mitatu ya ligi

Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara msimu wa 2015/2016 inatazamiwa kuanza kutimua vumbi Jumamosi ya Septemba 12 kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti nchini huku mchezo mmoja ukichezwa siku ya Jumapili uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS