Makocha wenye ujuzi watakuza soka - Nsajigwa Shirikisho la Soka nchini TFF na vyama vimetakiwa kuwa na kozi za mara kwa mara kwa makocha wa timu mbalimbali za ligi hapa nchini ili kuweza kukuza soka hapa nchini. Read more about Makocha wenye ujuzi watakuza soka - Nsajigwa