Fredy anyakua milioni 1 Fantasy League
Mshindi wa milioni 1 wa mwezi Agosti, katika shindano la Fantasy League linalochezeshwa na East Africa Radio, Fredy Joseph Komba amesema ameshinda mkwanja huo kwa kuwa alikuwa akifahamu wachezaji wengi wanaocheza soka Uingereza na Hispania.

