Serikali imepiga hatua katika sekta ya Afya Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal Serikali ya Tanzania kupita Wizara ya Afya na Ustawi Jamii imefanikiwa kupiga hatua katika kudhibiti magonjwa yaliyokuwa tishio kwa afya ya mama na mtoto ndani ya kipindi cha miaka 10. Read more about Serikali imepiga hatua katika sekta ya Afya