Wananchi watakiwa kushiriki mikutano, kupiga kura
Wananchi nchini Tanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ili kuweza kuchanganua na kuchagua viongozi wenye nia ya dhati ya kuongoza taifa na sio kuchagua kwa ushabiki.
