Maonesho ya unywaji maziwa kufanyika Tanga

Dkt. Ruth Rioba Mwenyekiti wa Bodi ya maziwa taifa, akifafanua jambo juu ya kuleta maadhimisho ya wiki ya maziwa

Maonesho ya kibiashara ya wiki ya unywaji wa maziwa yanatarajiwa kufanyika mkoani Tanga kwa siku mbili kuanzia tarehe 18 mpaka tarehe 19 Mwezi huu katika viwanja vya Tangamano Jijini Tanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS