Kikosi cha Yanga katika moja ya mechi ya michuano ya Mapinduzi inayoendelea kushika kasi yake Visiwani Zanzibar.
Klabu ya URA ya Uganda imeibwaga Yanga kwa Penati 4-3 kufuatia Sare ya Bao 1-1 katika Mechi ya Nusu Fainali ya kombe la Mapinduzi iliyofanyika huko katika wanja wa Amaan Zanzibar hapo Jana Usiku.