Mashabiki waiponda video ya Izzo Bizness

Msanii Izzo Buzness ambaye ameachia video ya wimbo wa shem lake, anakabiliwa na wakati mgumu baada ya mashabiki wengi kuonyesha kutofurahishwa na video hiyo, wakimtuhumu kuwa director hajaitendea haki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS