Taka zingeweza kufungua viwanda: Anna Mghwira
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mama Anna Mghwira amesema endapo serikali ingeelekeza nguvu zake kwenye uzoaji taka, zingeweza kuongeza ajira kwa kutengenezwa viwanda ambavyo vitatumia taka hizo katika uzalishaji wa bidhaa.