DRHA yaahirisha mashindano ya kufunga mwaka

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Magongo wakiwa uwanjani katika moja ya mechi jijini Dar es salaam

Chama cha mchezo wa mpira wa magongo mkoa wa Dar es Salaam kimesema hakitakuwa na mashindano ya kufungia mwaka huu kama walivyopanga hapo awali ili kutoa nafasi kwa ajili ya mashindano ya mwakani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS