H-Baba ajiita Baba wa sanaa Tanzania
Staa wa muziki H-Baba ametoa kauli ya kuwabeza wasanii wenzake, akieleza kuwa kwa sasa yupo kimya akiangalia mchezo kama baba mwenye nyumba ambaye akirejea, wasanii wengine kama wapangaji lazima waelewe juu ya uwepo wake.

