Taasisi zote zatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu
TAASISI mbalimbali Nchini zimetakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kutimiza wajibu wao ipasavyo ili kuendana na mabadiliko ya Nchi yaliyopo hivi sasa yanayofanywa na Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli.