Messi mwanasoka bora wa dunia 2015 Nyota wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa FIFA wa dunia kwa mwaka 2015 na kukabidhiwa tuzo ya Ballon d’Or kwa mara ya 5 Read more about Messi mwanasoka bora wa dunia 2015