Uganda yashutumiwa kubana uhuru wa habari
Shirika la kutetea haki za binadaamu la Human Rights Watch limesema vitisho vya serikali ya Uganda dhidi ya vyombo vya habari na wanaharakati vimeathiri vibaya uhuru wa kujieleza nchini humo, miezi michache kabla ya uchaguzi utakaofanyika tar 18 Feb.
