Msifanye ardhi kama biashara: Lukuvi Serikali inatarajia kutoa bei elekezi ya uuzaji wa ardhi, tofauti na hali ya sasa ambayo viwanja vimekuwa vikiuzwa kwa bei ya juu na kufanya watu wasio na uwezo kiuchumi kushindwa kumiliki na kujenga nyumba. Read more about Msifanye ardhi kama biashara: Lukuvi