Waziri Simbachawene akunjua Makucha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa George Simbachawene amewasimamisha kazi wakurugenzi katika Mikoa ya Kigoma na Katavi kwa ubadhirifu wa mali za umma. Read more about Waziri Simbachawene akunjua Makucha