Waziri Mkuu Majaliwa ampa pole Mama Maria Nyerere

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa neno la faraja kwa Mjane wa baba wa taifa Mama Maria Nyerere (kulia). Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtembelea na kumpa pole mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Maria Nyerere kwa kufiwa na mkwewe Leticia Nyerere.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS