Madee asitisha muziki kulea mtoto
Madee ambaye katika ngazi ya familia anatambulika pia kama Baba Saida akiwa anaonyesha kumudu vizuri jukumu lake kama baba, amesema amesitisha shughuli zote za muziki kwa mwisho wa mwaka huu mpaka Januar kupata muda zaidi wa kukaa na binti yake.