Mr. Flava ateuliwa kuwa Director wa Miss UN Afrika
Richard Sebadduka (aka Mr. Flava ) toka Uganda mwenye uzoefu wa zaidi ya mika 10 katika sekta ya masuala ya kumsaka mrembo anayewakilisha Uganda ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Taifa wa mashindano ya Miss Umoja wa Mataifa kwa Uganda

