Chege: Bongo Fleva imekuwa ngumu
Msanii Chege ambaye anafunga mwaka na video kubwa kabisa ya Sweety Sweety ft Runtown na Uhuru aliyoifanya huko Afrika Kusini chini ya Muongozaji Justin Campos, amesema kuwa muziki wa Bongo umekuwa mgumu, na hautaki tena vitu rahisi kama zamani.