Waziri aagiza ng'ombe 6000 waachiwe huru

Waziri wa Mali asili na utalii Prof. Jumanne Maghembe amewataka askari wa kulinda wanyama pori katika hifadhi ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara kuwarudishia wananchi ng'ombe 6000 ambao walishikiliwa baada ya kuingia eneo la hifadhi eneo la Busega.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS