Kuoa si jambo la kutangaza - Linex
Staa wa Muziki Linex ameeleza kuwa, picha zake zinazoendelea kuzua mjadala mkubwa mtandaoni, zinazomuonesha akiwa na bibi harusi katika pozi mbalimbali, zikimuhusisha yeye kuchukua hatua ya kuoa ni kitu ambacho atakizungumzia ndani ya siku 5 zijazo.

